Mwanzo > HABARI PICHA > AZAM WAWAPA HESHIMA YAO MABINGWA YANGA SC HABARI PICHA AZAM WAWAPA HESHIMA YAO MABINGWA YANGA SC Wachezaji wa iliyokuwa klabu bingwa Tanzania, Azam FC (kushoto) wakiwa wamejipanga mstari kuwapa heshima yao mabingwa wapya, Yanga SC jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya mechi baina ya timu hizo Wednesday, May 06, 2015 HABARI PICHA
0 comments:
Post a Comment