Mwanzo > HABARI PICHA > MWALI WA YANGA KATIKA MEZA NYEKUNDU HABARI PICHA MWALI WA YANGA KATIKA MEZA NYEKUNDU Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara likiwa kwenye meza nyekundu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya mchezo baina ya mabingwa, Yanga SC dhidi ya waliokuwa mabingwa watetezi, Azam FC jioni ya leo. Wednesday, May 06, 2015 HABARI PICHA
0 comments:
Post a Comment