• HABARI MPYA

  Tuesday, January 06, 2015

  TAZAMA JEURI YA FEDHA YA MAYWEATHER NA USOME VIJEMBE VYAKE

  BONDIA Floyd Mayweather kwa mara nyingine ameutikisa ulimwengu baada ya kuposti picha inayoonyesha mali na utajiri alionao.
  mwanamichezo huyo anayeiingiza fehda nyingi zaidi kwa sasa duniani, ameposti picha kwenye mtandao akiwa amesimama mbele ya magari ya kifahari pamoja na ndege yake binafasi.
  Mfalme huyo wa kutupa makode duniani aliyeiingiza Pauni milioni 66.1 kwa mujibu wa jarida la Forbes mwaka jana, katika picha hiyo ameambatanisha ujumbe usemao: "Karibu katika dunia yangu! Nani anataka kujitokeza na kucheza?'
  From left to right: Ferrari 599 GTB Fiorano, Porsche 911 Turbo S, Lamborghini Aventador, Ferrari 458 Spider, Ferrari 458 Spider. Bugatti Grand Sport, Bugatti Veyron, Bugatti Veyron... and a private jet in the background
  Kutoka kushoto ni Ferrari 599 GTB Fiorano, Porsche 911 Turbo S, Lamborghini Aventador, Ferrari 458 Spider, Ferrari 458 Spider. Bugatti Grand Sport, Bugatti Veyron, Bugatti Veyron na ndege yake

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAZAMA JEURI YA FEDHA YA MAYWEATHER NA USOME VIJEMBE VYAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top