• HABARI MPYA

  Monday, January 19, 2015

  MCGREGOR AMMALIZA RAUNDI YA PILI DENNIS SIVER

  McGregor once again displayed his variety of shots, hear landing a right knee on a bewildered Siver
  Conor McGregor akimtandika kifuti Dennis Siver katika pambano lao la jana la uzito wa Feather mjini Boston, England. McGregor alishinda raundi ya pili na baadaye akashuka ulingoni kutaka kuzipiga 'kavi kavu' na bingwa Jose Aldo, ambaye wanaweza kukutana ulingoni baadaye mwaka huu mjini Dublin.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCGREGOR AMMALIZA RAUNDI YA PILI DENNIS SIVER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top