• HABARI MPYA

    Saturday, November 01, 2014

    WACHEZAJI SIMBA SC WALIVYOTIA HURUMA LEO SARE YA SITA MOROGORO

    Wachezaji wa Simba SC wakiwa hoi baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri, Morogoro baina yao na Mtibwa Sugar ulioisha kwa sare ya 1-1. Hiyo ni sare ya sita mfululizo kwa Simba SC katika mechi sita za ligi ilizocheza msimu huu.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WACHEZAJI SIMBA SC WALIVYOTIA HURUMA LEO SARE YA SITA MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top