• HABARI MPYA

    Wednesday, November 05, 2014

    SIYO MAYENU, NI KOCHA HABIB KONDO ANATOA MAELEKEZO KWA VIJANA WAKE VILLA SQUAD

    Kocha wa Villa Squad, Habib Kondo (kushoto) akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza dhidi ya Lipuli FC ya Iringa jioni ya leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Lipuli ilishinda 1-0.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIYO MAYENU, NI KOCHA HABIB KONDO ANATOA MAELEKEZO KWA VIJANA WAKE VILLA SQUAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top