• HABARI MPYA

    Wednesday, November 05, 2014

    SHABIKI LIPULI LALETA SWAGA MPYA ZA UVUTAJI SIGARA, HII ILIKUWA LEO KARUME WAKICHEZA NA VILLA

     
    Shabiki la Lipuli FC ya Iringa, likivutia sigara sikioni katika moja ya mbwembwe zake za kuishangilia timu yake wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara dhidi ya Villa Squad, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
    Staili nyingine hiyo ya uvutaji sigara
    Hapa anadurahia burudani ya mpira 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHABIKI LIPULI LALETA SWAGA MPYA ZA UVUTAJI SIGARA, HII ILIKUWA LEO KARUME WAKICHEZA NA VILLA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top