• HABARI MPYA

    Friday, October 10, 2014

    TAIFA STARS MAZOEZINI LEO DAR KUIKUSANYIA MAKALI BENIN...HUYO MWAGANE YEYA NA KEVIN YONDAN ACHA TU!

    Beki wa Taifa Stars, Kevin Yondan kulia akimdhibiti mshambuliji Mwegane Yeya katika mazoezi ya timu hiyo ya taifa ya Tanzania asubuhi ya leo viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Benin keshokutwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Kiungo wa Al Markhiya ya Qatar, Mwinyi Kazimoto akiwatoka wachezaji weznake kwenye mazoezi ya Taifa Stars leo
    Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimiliki mpira katikati ya viungo wa Simba SC, Amri Kiemba kushoto na Said Ndemla kulia
    Wachezaji wa Yanga SC, winga Simon Msuva akimtoka beki Oscar Joshua kwenye mazoezi ya Stars leo
    Mrisho Ngassa wa Yanga akipasua katikati, kushoto ni Jonas Mkude wa Simba SC

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS MAZOEZINI LEO DAR KUIKUSANYIA MAKALI BENIN...HUYO MWAGANE YEYA NA KEVIN YONDAN ACHA TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top