• HABARI MPYA

    Sunday, October 12, 2014

    PIGO LIVERPOOL, MARKOVIC AUMIA AKIICHEZEA SERBIA, AWEZA KUWA NJE MWEZI

    KLABU ya Liverpool imepata pigo lingine baada ya wing wake, Lazar Markovic kutolewa nje akiichezea timu yake ya taifa, Serbia katika mchezo wa kufuzu Euro 2016 dhidi ya Armenia. 
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 alitoka nje baada ya dakika 25 tu baada ya kupata maumivu ya misuli ambayo yanaweza kumuweka nje hadi mwezi mmoja. 
    Hilo ni pigo kubwa kwa kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers ambaye wachezaji wake wengi wamekwenda kwenye mechi hizo za kimataifa.

    Winga mwenye umri wa miaka 20 anatarajiwa kuwa nje kwa mwezi mmoja Liverpool 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PIGO LIVERPOOL, MARKOVIC AUMIA AKIICHEZEA SERBIA, AWEZA KUWA NJE MWEZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top