• HABARI MPYA

    Tuesday, October 07, 2014

    MAYWEATHER APIGA DOLA MILIONI 2 KAMA MCHEZO, TENA BILA JASHO

    BONDIA Mmarekani, Floyd Mayweather ameibuka na karibu dola za Kimarekani Milioni 2 baada ya kubeti katika mechi za NFL wiki tatu zilizopita, kufuatia kuweka dola 940,000 kwenye mechi mbili.
    Mayweather, mwanamichezo anayeongoza kulipwa duniani, ameondoka na dola 1,825,714.28 baada ya kushinda beti zake zote kwa Seattle Seahawks na Indianapolis Colts alizozipigia beti kushinda kwa zaidi ya pointi saba.
    The Colts, ikiongozwa na Andrew Luck, iliifunga Jacksonville Jaguars 44-17 Septemba 21 kabla ya Seattle kuifunga Washington Redskins 27-17 jana.

    Floyd Mayweather ndiye mwanamichezo anayelipwa zaidi duniani
    Betting slip for Colts vs Jaguars
    Betting slip for Seahawks vs Redskins
    Mayweather ameposti beti zake mbili kwenye Instagram yake 
    Russell Wilson ran for a career-high 122 yards as Seattle beat Washington 27-17 on Monday night
    Russell Wilson aliiongoza Seattle kuifunga Washington 27-17 jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAYWEATHER APIGA DOLA MILIONI 2 KAMA MCHEZO, TENA BILA JASHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top