![]() |
Kipa namba moja wa Simba SC, Ivo Mapounda (katikati) akifanya mazoezi na timu yake hiyo mjini Johannesburg, Afrika Kusini jana. Kulia ni kipa wa tatu, Peter Manyika na kushoto kocha anayewanoa huko. |
![]() |
Kipa namba mbili, Hussein Sharrif 'Cassilas' aliyeumia ugoko, bado hajaanza mazoezi na asubuhi ya leo Simba SC inacheza na Jomo Cosmos |
![]() |
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi jana. Timu hiyo imeweka kambi huko kujiandaa na mchezo dhidi ya mahasimu, Yanga SC Jumamosi wiki hii mjini Dar es Salaam |
![]() |
Wachezaji wa Simba SC wanaonekana wapo katika hali nzuri kuelekea mchezo huo |
0 comments:
Post a Comment