Sunday, August 03, 2014

    MAREFA MAFEDHULI WAPO DUNIA NZIMA, ANGALIA HAWA WA ARSENAL NA MONACO NAO WALIVYOINYIMA PENALTI YA HALALI GUNNERS


    Marefa mafedhuli wapo dunia nzima! Refa Martin Atkinson na wasaidizi wake wakitoka uwanjani wanafurahi baada ya kuinyima penalti ya wazi Arsenal ikifungwa 1-0 na Monaco katika Kombe la Emirates jioni ya leo
    In the nick of time: Chuba Akpom nips in and takes the ball round Monaco keeper Daniel Subasic
    Dhuluma hii: Chuba Akpom akimpiga chenga kipa wa Monaco, Daniel Subasic kwenye eneo la hatari

    Akpom akiangushwa chini ndani ya eneo la hatari na kipa wa Monaco
    Baffling: Despite the incident being a good yard inside the box, a free-kick was given
    Licha ya kuangushwa ndani ya boksi, refa huyo akatoa mpira nje upigwe mpira wa adhabu badala ya kutoa penaltiSpot on: Martin Atkinson points to the penalty spot after Akpom was brought down
    Kwanza Martin Atkinson alielekeza mpira utengwe kwenye eneo la penaltiChange of heart: Atkinson eventually gave a free-kick after advice from his assistant referee
    Lakini akabadilisha mawazo baada ya kushauriwa na wasaidizi wake
    Livid: Mathieu Flamini (centre) protests after the baffling decision
    Mathieu Flamini (katikati) akilalamikia maamuzi ya refa huyo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAREFA MAFEDHULI WAPO DUNIA NZIMA, ANGALIA HAWA WA ARSENAL NA MONACO NAO WALIVYOINYIMA PENALTI YA HALALI GUNNERS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry