// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HIVI NDIVYO AMBAVYO TAIFA STARS WALIVYOKONGA NYOYO ZA WATANZANIA JANA HARARE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HIVI NDIVYO AMBAVYO TAIFA STARS WALIVYOKONGA NYOYO ZA WATANZANIA JANA HARARE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, June 02, 2014

    HIVI NDIVYO AMBAVYO TAIFA STARS WALIVYOKONGA NYOYO ZA WATANZANIA JANA HARARE

    Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakifurahia kuitoa Zimbabwe katika mechi ya mchujo kuwania tiketi nya kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika jana Uwanja wa Taifa wa Harare, Zimbabwe baada ya sare ya 2-2 inayowafanya wasonge mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 kufuatia ushindi wa 1-0 katika mchezo wa kwanza mjini Dar es Salaam wiki mbili zilizopita.
    Winga wa Taifa Stars, Simon Msuva akiwatoka wachezaji wa Zimbabwe
    Kiungo wa Taifa Stars, Amri Kiemba akimtoka mchezaji wa Zimbabse
    Kiungo wa Taifa Stars, Frank Domayo akiambaa na mpira
    Thomas Ulimwengu akiwa ameanguka chini baada ya kuchezewa rafu na beki wa Zimbabwe
    John Bocco akipambana na mchezaji wa Zimbabwe
    Beki Oscar Joshua akimdhibiti mchezaji wa Zimbabwe, huku Frank Domayo kushoto akiwa tayari kutoa msaada
    Beki wa Zimbabwe akiwa ameruka juu ya John Bocco kuondosha mpira kwenye himaya ya mshambuliaji huyo wa Taifa Stars
    John Bocco akiwa amebebwa kwenye machela kutolewa nje baada ya kuumia. Hata hivyo, Bocco alirudi kuendelea na mchezo hadi akamaliza
    Vikosi vya Zimbabwe na Tanzania vikiingia uwanjani
    Mashabiki waliosafiri kutoka Dar es Salaam na wengine wakazi wa Harare waliojitokeza kuisapoti Taifa Stars jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HIVI NDIVYO AMBAVYO TAIFA STARS WALIVYOKONGA NYOYO ZA WATANZANIA JANA HARARE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top