// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); GEBO PETER AFARIKI DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE GEBO PETER AFARIKI DUNIA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, June 06, 2014

    GEBO PETER AFARIKI DUNIA

    MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba Scya Dar es Salaam, Gabriel ‘Gebo’ Peter amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, imeelezwa.
    Kaka wa marehemu, Peter Tino ametoa taarifa za awali za msiba wa nduguye, akisema amefariki usiku wa kuamkia leo.
    Gebo aliyewika Sigara FC ya Chang’ombe, Dar es Salaam kabla ya kutua Simba SC, hadi anafariki alikuwa mdau mkubwa wa klabu ya Manyema Rangers ya Kariakoo.
    Pumzika kwa amani; Gebo Peter enzi za uhao wake

    Msiba upo nyumbani kwao, Vingunguti Dar es Salaam na umoja wa wachezaji wa zamani wa Simba na Yanga unasimamia mchakato mzima wa mazishi kwa pamoja na familia ya marehemu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GEBO PETER AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top