Ruka juu: Didier Drogba akiruka juu kushangilia bao lake aliloifungia Ivory Coast ushindi wa 2-1 jana katika mchezo wa kirafiki dhidi ya El Salvador mjini Frisco, Texas, Marekani. Bao lingine la Tembo hao lilifungwa na Gervinho katika mchezo huo wa kujiandaa na Kombe la Dunia.
Gervinho akimtambuka kipa Henry Hernandez kuifungia Ivory Coast
0 comments:
Post a Comment