• HABARI MPYA

    Friday, June 13, 2014

    COASTAL UNION YAFANYA KUFURU, YASAJILI WACHEZAJI KIBAO KWA MPIGO

    Beki wa kati wa Mgambo JKT ya Tanga akisaini mkataba wa kujiunga na mahasimu wao wa Jiji hilo, Coastal Union mbele ya viongozi wa kabu hiyo, Makamu Mwenyekiti, Stephen Mguto (katikati) na Katibu, Kassim El Siagi kushoto na Mjumbe wa Kamati ya Usajili, Salim Amir kulia jana makao makuu ya klabu hiyo, Barabara ya 13, Tanga.
    Kipa Shaaban Kado akisaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuichezea klabu hiyo
    Mshambuliaji Hussein Sued akisaini kujiunga na Coastal Union kwa mwaka mmoja kutoka Ashanti United
    Mshambuliaji Mnigeria, Ike Bright Obinna akisaini mkataba wa kujiunga na Coastal. Mchezaji huyo alichezea Ashanti United msimu uliopita. Kushoto ni Mwenyekiti wa Coastal, Ali Hemed 'Aurora'.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COASTAL UNION YAFANYA KUFURU, YASAJILI WACHEZAJI KIBAO KWA MPIGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top