// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BREAKING NEWS; DIEGO COSTA AFAULU VIPIMO VYA AFYA CHELSEA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BREAKING NEWS; DIEGO COSTA AFAULU VIPIMO VYA AFYA CHELSEA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, June 04, 2014

    BREAKING NEWS; DIEGO COSTA AFAULU VIPIMO VYA AFYA CHELSEA


    MSHAMBULIAJI wa Hispania, Diego Costa amefuzu vipimo vya afya Chelsea kuelekea uhamisho wake Pauni Milioni 32 kutoka Atletico Madrid.
    BBC imeandika jioni hii kwamba, Chelsea imefika bei ya manunuzi ya mpachika mabao huyo mwenye umri wa miaka 25 wa Atletico na sasa wataingia kwenye mjadala wa vipengele binafsi.
    Costa amefunga mabao 36 katika mechi 52 alizoichezea Atletico msimu huu ikitwaa ubingwa wa Hispania, La Liga kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1996 na kufika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mzaliwa huyo wa Brazil yumo kwenye kikosi cha Hispania kitakachoshiriki Fainali za Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BREAKING NEWS; DIEGO COSTA AFAULU VIPIMO VYA AFYA CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top