• HABARI MPYA

    Sunday, September 01, 2013

    MAN CITY YAZINDUKA ENGLAND, MABAO YA NEGREDO NA YAYA TOURE YAIREJESHA KWENYE MBIO ZA UBINGWA

    IMEWEKWA SEPTEMBA 1, 2013 SAA 10:55 ALFAJIRI
    KLABU ya Manchester City imezinduka na kupata ushindi wa mabao 2-0 katika Ligi Kuu ya England, dhidi ya Hull City jana, Alvaro Negredo akifungua akaunti yake ya mabao katika lii hiyo.
    Kocha Steve Bruce wa Hull City alionyesha kuwa na kikosi imara uwanjani ambacho kiliwanyima raha mashabiki wa Etihad, lakini kikailinika dakika ya 65 kwa bao la kichwa la Mspanyola huyo.
    Baada ya kipigo cha wiki iliyopita kutoka kwa Cardiff, timu iliyopanda Ligi Kuu msimu huu, vijana wa Manuel Pellegrini jana hawakutaka kurudia makosa na Yaya Toure alifuna bao la pili dakika ya 90.
    Kikosi cha Manchester City kilikuwa: Hart, Zabaleta, Lescott, Kolarov, Nastasic, Navas, Aguero/Milner dk76, Silva/Nasri dk66, Fernandinho, Toure na Dzeko/Negredo dk46.
    Hull: McGregor, Figueroa, Chester, Davies, Elmohamady, Huddlestone, Brady, Livermore, Aluko/Quinn dk70, Graham, Koren/Boyd dk75.
    Rising high: Negredo heads past Hull goalkeeper Allan McGregor for the opening goal
    Ameenda hewani: Negredo akiruka kupiga mpira kichwa dhidi ya kipa wa Hull, Allan McGregor kufuna bao la kwanza
    Come here: Alvaro Negredo (left) celebrates with team-mates Jesus Navas and Pablo Zabaleta after scoring the opener
    Njooni hapa: Alvaro Negredo (kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake Jesus Navas na Pablo Zabaleta baada ya kufunga
    Strike: Toure scores from a free kick in the last minute
    Shuti: Toure akifunga kwa mpira wa adhabu dakika ya mwisho
    One for the highlights reel: Toure celebrates his sublime free kick
    Raha ya bao shangwe: Toure akishangilia baada ya kufunga
    Hapa ni namna Alvaro Negredo alivyofunga bao la kwanza la Manchester City - sasa gonga hapa kupata zaidi yaliyojiri Etihad
    Alvaro Negredo graphic
    Shocker: Hull's Aluko reacts after missing a chance
    Mshituko: Mchezaji wa Hull, Aluko akilalamika baada ya kupoteza nafasi ya kufunga
    Flying high: Jesus Navas has his boot high as he challenges Tom Huddlestone
    Akienda hewani: Jesus Navas akipambana na Tom Huddlestone
    Solid: Joleon Lescott (2nd L) heads the ball
    Kigumu: Joleon Lescott akiruka kichwa
    On the ball: David Silva in action as Ahmed Elmohamady chases
    Anakwenda na mpira: David Silva akimtoka Ahmed Elmohamady
    Fall: Hull midfielder Stephen Quinn vies with Fernandinho for the ball
    Anaanguka: Kiungo wa Hull, Stephen Quinn akigombea mpira na Fernandinho
    Talking to: Referee Phil Dowd speaks to Hull manager Steve Bruce
    Wanazungumza tu: Refa Phil Dowd akizungumza na kocha wa Hull, Steve Bruce
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAN CITY YAZINDUKA ENGLAND, MABAO YA NEGREDO NA YAYA TOURE YAIREJESHA KWENYE MBIO ZA UBINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top