• HABARI MPYA

    Saturday, April 06, 2013

    BONANZA LA MEDIA DAY LILIVYOFANA LEADERS CLUB LEO


    Dande Jr. wa Blogers FC akimtoka mchezaji wa Radio Maria katika mchezo wa soka kwenye Bonanza la Media Day leo viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam.
    Saleh Ally wa Blogers FC akipambana mpaka chini... 
    Majuto Omary wa Blogers akishuhudia kipa wa Radio Maria akidaka mpira...
    Tafrani Blogers Vs Radio Maria
    Watu wanapakuliwa chakula
    Wanenguaji wa Extra Bongo...
    Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto akimuongoza mgeni rasmi Dk. Harrison Mwakyembe katikati
    Extra Bongo...
    Wanenguaji wa Extra Bongo...
    Blogers FC Vs DSJ...
    Nyomi...
    Wanenguaji wa Extra Bongo...
    Kikosi cha Blogers FC
    Burudani...
    Blogers Vs DSJ...
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: BONANZA LA MEDIA DAY LILIVYOFANA LEADERS CLUB LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top