• HABARI MPYA

    Saturday, April 06, 2013

    AZAM FC ILIVYOJIKATIA TIKETI YA KUMENYANA NA FAR RABAT LEO KWA SARE NA B.Y.C. TAIFA

    Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akijiandaa kupiga shuti baada ya kumtoka beki wa Barack Young Controllers II ya Liberia, Joseph Broh katika mchezo wa marudiano Raundi ya Pili, Kombe la Shirikisho Afrika jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare nna kwa matokeo hayo Azam imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1 iliyoshinda Monrovia wiki mbili zilizopita na sasa itamenyana na FAR Rabat ya Morocco wiki mbili zijazo.

    John Bocco 'Adebayor' wa Azam akiwatgoka mabeki wa B.Y.C.

    Beki wa B.Y.C., Carleo Anderson akiwa amelala kuondosha mpira miguuni mwa Kipre Tchetche

    John Bocco akipambana

    Humphrey Mieno akienda chini baada ya kukwatuliwa na beki wa B.Y.C.

    Kipre Tchetche akiambaa na mpira mbele ya mabeki wa B.Y.C.

    Kikosi cha B.Y.C. leo

    Wazee wa VIP; Juu katikati ni aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geofffrey Nyange 'Kaburu'

    Kikosi cha Azam leo

    Kipa wa B.Y.C., Winston Sayouh akiwapigia makofi mashabiki wa Yanga kuwashukuru kwa kuishangilia timu yake 

    Sayouh mbele ya mashabiki wa Yanga

    John Bocco akimtoka mchezaji wa B.Y.C. Abraham Andrews 

    Kipa wa B.Y.C. Winston Sayouh akidaka mbele ya wachezaji wa Azam

    Kipre Tchetche akijiandaa kumgeuza beki wa B.Y.C.

    Abdi Kassim 'Babbi' akipasua

    Hatari kwenye lango la B.Y.C.

    Khamis Mcha 'Vialli' akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa B.Y.C.

    Kipre Balou akisikitika baada ya kukosa bao la wazi

    Kipa Winston Sayouh akidaka mbele ya wachezaji wa Azam 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOJIKATIA TIKETI YA KUMENYANA NA FAR RABAT LEO KWA SARE NA B.Y.C. TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top