Mkurugenzi wa Lino Agency ambayo inaratibu shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga aklizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na udhamini mpya wa mashindano hayo, katikati ni meneja masoko wa kampuni ya bia Tanzania (TBL) Fimbo Butallah na kulia ni meneja wa kinywaji cha Redd's, Victoria Kimaro.
0 comments:
Post a Comment