• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 21, 2012

  CHEKO LA BALOTELLI LILIVYOSHEHENI BASHASHA

  Mshambuliaji wa Manchester City, Mario Balotelli akicheka kwa raha zake katika mazoezi ya timu yake viwanja vya Carrington Centre, mjini Manchester, England leo. City itacheza na FC Porto ya Ureno katika Europa League kesho.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHEKO LA BALOTELLI LILIVYOSHEHENI BASHASHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top