Mechi kati ya Yanga na Zamalek inaendele kipindi cha pili hivi sasa dakika zinayoyoma, Amr Zaki anaisawaishia bao Zamalek. 1-1. Yanga ilikuwa ya kwanza kupata bao, lililofungwa na Mwanasoka Bora wa Uganda 2011, Hamisi Kiiza. Uwanja wa Nyamirambo mjini Kigali, Mwinyi Kazimoto anaifungia Simba bao la kwanza dakika ya 43 dhidi ya wenyeji Kiyovu Sport. Tuendelee kuziombea dua timu zetu za Tanzania zishinde leo.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment