"Alinipiga sio kama bondia, bali kama mwanamke kwa mkono mtupu," alisema bingwa wa ndondi za kulipwa uzito wa juu duniani, anayetambuliwa na WBC, Vitali Klitschko baada ya kupigwa kibao na mpinzani wake katika pambano la leo usiku mjini Munich, Muingereza Dereck Chisora wakati wanapima uzito..
0 comments:
Post a Comment