MKURUGENZI wa Primetime Promotions Joseph Kusaga (Kulia) akishikana mkono na Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange 'Kaburu' mara baada ya kusaini mkataba wa ushirikiano katika kuratibu mchezo wa marudiano wa kombe la Shirikisho baina ya Simba na Kiyovu ya Rwanda utakaopigwa Jumamosi ya Machi 4 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Liverpool lodge complaint over Man City ticket allocation for Etihad clash
-
Earlier this month Sportsmail revealed that, following a number of
instances of disorder at recent games between the two sides, City had been
told to cut t...
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment