• HABARI MPYA

  Saturday, February 25, 2012

  SARE YA UGENINI YAMPAGAWISHA KOCHA MPYA WOLVES

  Kocha mpya wa Wolverhampton Wanderers, Terry Connor (kulia) akishangilia sare ya  2-2 dhidi ya Newcastle katika mechi ya Ligi Kuu ya England na beki Mfaransa Ronald Zubar (kushoto) kwenye Uwanja wa Sports Direct Arena mjini Newcastle, kaskazini mashariki mwa England leo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SARE YA UGENINI YAMPAGAWISHA KOCHA MPYA WOLVES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top