• HABARI MPYA

  Wednesday, February 22, 2012

  MHESHIMIWA RAIS MTARAJIWA YOUSSOU N'DOUR KATIKA JUKWAA LA KAMPENI DAKAR

  Mwanamuziki na mwanasiasa wa upinzani, Youssou N'Dour akiwa katika Mkutano wa wapinzani kabla ya kutawanywa na Polisi katikati ya Jiji la Dakar leo. Wapinzani Senegal wanaomba ulinzi mpya kufuatia hofu inayotokana na vurugu zinazoendela kuelekea kwenye uchaguzi Mkuu ambao rais Abdoulaye Wade anawania kwa mara ya tatu mfululizo ingawa anapingwa na wengi.  Youssou N'Dour anagombea urais.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MHESHIMIWA RAIS MTARAJIWA YOUSSOU N'DOUR KATIKA JUKWAA LA KAMPENI DAKAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top