• HABARI MPYA

  Wednesday, February 29, 2012

  NANI ATAMZUIA VAN MABAO LEO ASICHEKE NA NYAVU LEO?

  Mshambuliaji wa Uholanzi Robin van Persie anayechezea Arsenal ya England, akimiliki mpira wakati wa mazoezi ya timu yake ya taifa kwenye Uwanja wa Wembley jana, tayari kwa mchezo wa leo wa kirafiki dhidi ya England kwenye Uwanja huo huo.Kumbuka huyu ndiye mfungaji bora wa mabao katika Ligi Kuu ya England inayoendelea hivi sasa. Je, England wana beki wa kumzuia Van Mabao asiwafunge?
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NANI ATAMZUIA VAN MABAO LEO ASICHEKE NA NYAVU LEO? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top