Bondia Furaha Nganda akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Monica Mwakasanga utakaofanyika kesho ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam. Kushoto ni Monica akishuhudia na kulia ni Katibu wa Shirikisho la Ngumi Tanzania (PST) Anthony Lutta, akiongoza zoezi hilo.
0 comments:
Post a Comment