• HABARI MPYA

  Friday, February 24, 2012

  MTAMBO WA GONGO, MATUMLA KESHO TENA PTA

  Bondia Maneno Oswald 'Mtambo wa Gongo' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika katika ukumbi wa PTA, Sabasaba, Dar es Salaam kesho. Kushoto ni mpinzani wake Rashidi Matumla akishuhudia na kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ngumi (PST), Anthony Lutta akiongoza zoezi hilo leo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTAMBO WA GONGO, MATUMLA KESHO TENA PTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top