Mwanzo > Untagged ROBBEN AKARIBISHWA NA KIPIGO BAYERN ROBBEN AKARIBISHWA NA KIPIGO BAYERN Kiungo wa Bayern Munich, aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu Mholanzi Arjen Robben akipiga mzigo katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya FC Basel baada ya kupona kwenye Uwanja wa St. Jakob mjini Basel, Uswisi jana. Munich ilipigwa 1-0. Thursday, February 23, 2012
0 comments:
Post a Comment