• HABARI MPYA

  Saturday, February 25, 2012

  KUNA WAKATI ABRAMOVICH ANAKUWAGA KOCHA CHELSEA

  Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Mrusi Roman Abramovic akionyesha ishara katika mechi ya Ligi Kuun ya England kati ya timu yake, Chelsea na Bolton Wanderers kwenye Uwanja wa Stamford Bridge mjini London leo. Chelsea ilishinda 3-0 na kurejea top four
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KUNA WAKATI ABRAMOVICH ANAKUWAGA KOCHA CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top