• HABARI MPYA

  Wednesday, February 29, 2012

  YANGA WAENDA MISRI BILA BERKO, GUMBO
   MSAFARA wa Yanga utaondoka alfajir ya kesho kwenda Cairo Misri tayari kwa mechi yake ya marudiano ya ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Zamalek ya huko utakaopigwa Machi 4.
  Hata hivyo katika msafara huo watakosekana nyota wake kadhaa wakiwemo kipa Mghana Yaw Berko na Rashid Gumbo.
  Wachezaji watakaoondoka ni pamoja na Shaban Kado, Shadrack Nsajigwa, Athuman Iddy ‘Chuji’, Juma Seif, Nurdin Bakari, Chacha Marwa, Godfrey Taita, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Omega Seme, Davies Mwape, Pius Kisambale, Hamis Nombo, Oscar Joshua, Haruna Niyonzima, Jerry Tegete, Job Ibrahim, Stefano Mwasyika, Kenneth Assamoh na  Shamte Ally.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WAENDA MISRI BILA BERKO, GUMBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top