• HABARI MPYA

  Thursday, February 23, 2012

  MARSEILLE YAIKUNG'UTA INTER MILAN ULAYA

  Mshambuliaji wa Marseille Andre Ayew (kushoto) akipambana na beki Yuto Nagatomo wa Inter Milan (kulia) katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya jana, kwenye Uwanja wa Velodrome, Marseille, kusini mwa Ufaransa . Marseille ilishinda 1-0. Ayew, mtoto wa Abedi Pele ndiye alifunga bao hilo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MARSEILLE YAIKUNG'UTA INTER MILAN ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top