• HABARI MPYA

  Tuesday, February 21, 2012

  YANGA NA ZAMALEK YAINGIZA MILIONI 300 KASORO KIDOGO TU


  MECHI ya kwanza ya Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Zamalek ya Misiri iliyochezwa Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, imeingiza kiasi cha Sh Milioni 286, 695.000,00.
  Katika mchezo, timu hizo zilitoka sare ya 1-1 Yanga ikitangulipa kupata bao lililofungwa na Hamisi Kiiza na Zamalek kusawzisha kupitia kwa Amr Zaki.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA ZAMALEK YAINGIZA MILIONI 300 KASORO KIDOGO TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top