• HABARI MPYA

  Friday, February 24, 2012

  KAKA HUYO MKE WA MTU, USILETE USUPA STAA WAKO HAPO, TENA MWENYE MALI ANA FEDHA CHAFU!

  Mwigizaji wa Hollywood, Rob Lowe, kushoto, akiwa ameketi na Katie McClendon, mke wa Aubrey McClendon, Ofisa Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa Chesapeake Energy Corp katika mechi ya Ligi mpira wa kikapu Marekani, NBA kwenye Uwanja wa Chesapeake Energy Arena mjini Oklahoma City jana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAKA HUYO MKE WA MTU, USILETE USUPA STAA WAKO HAPO, TENA MWENYE MALI ANA FEDHA CHAFU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top