• HABARI MPYA

  Wednesday, February 29, 2012

  MUME WA SHAKIRA ANAPOKUWA KAZINI, HANA MZAHA KUDADEKI

  Beki wa Hispania Gerard Pique (katikati) ambaye pia ni mchumba wa mwanamuziki wa Shakira akichuana na beki mwenzake Alvaro Arbeloa (kushoto) katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Rosaleda mjini Malaga jana tayari kwa mchezo wa leo dhidi ya Venezuela.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MUME WA SHAKIRA ANAPOKUWA KAZINI, HANA MZAHA KUDADEKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top