Mshambuliaji wa Manchester City, Mtaliano Mario Balotelli (kushoto) na kiungo Mfaransa wa timu hiyo Samir Nasri (katikati) wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Carrington mjini Manchester leo, tayari kwa mchezo wa kesho wa UEFA Europa League dhidi ya Porto mjini Porto, Ureno.
0 comments:
Post a Comment