• HABARI MPYA

  Thursday, December 13, 2018

  SIMBA SC WALIPOFANYA MAZOEZI YAO YA KWANZA KITWE JANA

  Wachezaji wa Simba SC wakifanya mazoezi jana jioni mjini Kitwe, Zambia baada ya kuwasili kwa ajili ya mchezo wa kwanza hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Nkana FC Jumapili  
  Kocha wa Simba SC, Mbelgiji Patrick Aussems (kulia) akiwapa maelekezo wachezaji wake kabla ya kuanza mazoezi
  Wachezaji wa Simba SC wakifanya mazoezi jana jioni mjini Kitwe, Zambia baada ya kuwasili 
  Wachezaji wa Simba SC wakifanya mazoezi jana jioni mjini Kitwe kujiandaa na mchezo wa Jumapili   
  Mwenyeji wao; Kiungo wa Simba SC, Mzambia Clatous Chama wakati timu inawasili Kitwe jana 
  Kiungo hodari wa Simba SC, Jonas Mkuse baada ya timu kuwasili Kitwe 
  Mshambuliaji tegemeo la Simba SC, Mganda Emmanuel Okwi baada ya timu kuwasili Kitwe 
  Kutoka kushoto kipa Deo Munishi 'Dida', beki Muivory Coast, Serge Wawa Pascal na Nahodha, mshambuliaji John Bocco 
  Waghana kiungo James Kotei na beki Asante Kwasi nyuma
  Kocha Patrick Aussems akifanya mahojiano na Waandishi wa Habari mjini Kitwe jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIPOFANYA MAZOEZI YAO YA KWANZA KITWE JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top