• HABARI MPYA

  Sunday, December 02, 2018

  CHELSEA YAZINDUKA, YAICHAPA FULHAM 2-0 STAMFORD BRIDGE

  Wachezaji wa Chelsea wakimkimbilia mwenzao, kiungo Ruben Loftus-Cheek kumpongeza baada ya kufunga bao la pili dakika ya 82 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Bao la kwanza la The Blues limefungwa na Pedro dakika ya nne na kwa ushindi huo Chelsea inafikisha pointi 31 baada ya kucheza mechi 14 na kupanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAZINDUKA, YAICHAPA FULHAM 2-0 STAMFORD BRIDGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top