• HABARI MPYA

    Monday, December 10, 2018

    BALE AMALIZA UKAME WA MABAO MECHI 11 REAL MADRID YASHINDA 1-0

    Gareth Bale akipongezwa na wenzake baada ya kumaliza ukame wa mabao katika mechi 11 za La Liga kufuatia kuifungia Real Madrid bao pekee dakika ya nane katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Huesca kwenye mchezo wa ligi hiyo Kuu Hispania usiku wa jana Uwanja wa El Alcoraz 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE AMALIZA UKAME WA MABAO MECHI 11 REAL MADRID YASHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top