• HABARI MPYA

  Friday, August 10, 2018

  MASHABIKI SIMBA SC WALIVYOBURUDIKA KWENYE SIMBA DAY JUZI

  Msanii Tundaman akitumbuiza wakati wa tamasha la Simba Day juzi Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
  Wachezaji wa Simba SC (kulia) na Asante Kotoko (kushoto) wakiingia uwanjani kwa ajili ya mechi ya kuhitimisha tamasha la Simba Day  
  Mashabiki wa Simba SC wakifurahia kwenye tamasha la Simba Day juzi Uwanja wa Taifa 
  Mashabiki wa Simba SC wakifurahia kwenye tamasha la Simba Day juzi Uwanja wa Taifa 
  Mashabiki wa Simba SC wakifurahia kwenye tamasha la Simba Day juzi Uwanja wa Taifa 
  Shabiki wa Yanga SCkatikati ya mashabiki wa Simba SC kwenye Simba Day juzi 
  Mashabiki wa Simba SC wakifurahia kwenye tamasha la Simba Day juzi Uwanja wa Taifa 
  Mashabiki wa Simba SC wakifurahia na mdoli waliyemvalisha nguo za rangi za mahasimu wao, Yanga  
  Mashabiki wa Simba SC wakifurahia kwenye tamasha la Simba Day juzi Uwanja wa Taifa  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI SIMBA SC WALIVYOBURUDIKA KWENYE SIMBA DAY JUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top