• HABARI MPYA

  Sunday, August 05, 2018

  MAN CITY WAIPIGA CHELSEA 2-0 WABEBA NGAO YA JAMII

  Wachezaji wa Manchester City wakisherehekea na Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea leo Uwanja wa Wembley mjini London, leo mabao yote yakifungwa na Sergio Aguero dakika za 13 na 58 ambaye sasa amefikisha mabao 201 tangu ajiunge na klabu hiyo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY WAIPIGA CHELSEA 2-0 WABEBA NGAO YA JAMII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top