• HABARI MPYA

  Friday, August 03, 2018

  UTAMBULISHO WA KESSY NKANA FC LEO BAADA YA KUSAINI MIAKA MIWILI

  Beki wa kulia wa kikataifa wa Tanzania, Hassan Ramadhani Kessy akipeana mkono na kiongozi wa Nkana FC wakati wa kutambulishwa kwake leo mjini Lusaka, Zambia kufuatia kusaini mkataba wa miaka miwili 
  Hassan Kessy anayejiunga na Nkana FC akitokea Yanga SC ya nyumbani, Dar es Salaam amekabidhiwa jezi namba 22
  Pamoja na Hassan Kessy aliyedumu kwa miaka miwili Yanga SC akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro, Nkana FC pia imetambulisha wachezaji wengine wapya leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UTAMBULISHO WA KESSY NKANA FC LEO BAADA YA KUSAINI MIAKA MIWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top