• HABARI MPYA

    Saturday, May 07, 2016

    SHUGHULI LA SAMATTA JANA UBELGIJI

    Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania Mbwana Samatta akipambana nyuma ya beki wa Zulte Waregem katika mchezo wa Ligi ya mchujo Ubelgiji kufuzu michuano ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Cristal Arena mjini Genk. KRC Genk walishinda 2-0




    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHUGHULI LA SAMATTA JANA UBELGIJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top