• HABARI MPYA

  Sunday, May 15, 2016

  HIVI NDIVYO YANGA WALIVYOJIACHIA NA MWALI WAO JANA

  Wachezaji wa Yanga, kipa Deo Munishi 'Dida' (kushoto) na beki Vincent Bossou (kuli) wakiwa wamebeba kwa pamoja Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam walilokabidhiwa baada ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Ndanda FC ya Mtwara ulioisha kwa sare ya 2-2
  Wachezaji wa Yanga wakifuarahia na Kombe lao jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Dida akimuambia jambo kwa siri, mgeni rasmi, Waziri wa Kilimo na Uvuvi, Mwigulu Mchemba
  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom, Ian Ferrao (kushoto) akimvalisha Medali kiungo wa Yanga, Mbuyu Twite
  Bossou akiwa amemdandia mgongni kocha Hans van der Pluijm kufurahia naye
  Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Sheikh Said Muhammad (kushoto) akimvalisha Medali mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma wa Zimbabwe
  Waziri Nchemba akimvalisha Medali, Mzimbabwe mwingine wa Yanga, Thabani Kamusoko
  Ferrao akimvalisha Medali mtoto wa kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima
  Ferrao akimvalisha Medali winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya
  Kikosi kizima cha Yanga kikifurahia na Kombe la jana Uwanja wa Taifa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HIVI NDIVYO YANGA WALIVYOJIACHIA NA MWALI WAO JANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top