• HABARI MPYA

  Tuesday, May 17, 2016

  HAJIB TAYARI YUPO MJINI, SASA KAZI IPO YEYE NA MKATABA WA SIMBA

  Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib (kushoto) akiwa na Meneja wake, Juma Ndabila baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam akitokea Afrika Kusini ambako alikwenda kufanya majaribio kwenye klabu ya Godlen Arrows ya Ligi Kuu. Hajib amefuzu majaribio, lakini Arrow inataka kumchukua kama mchezaji huru, wakati yeye ana Mkataba wa mwaka mmoja na Simba SC 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAJIB TAYARI YUPO MJINI, SASA KAZI IPO YEYE NA MKATABA WA SIMBA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top