• HABARI MPYA

  Thursday, May 12, 2016

  HAJIB ALIVYOANZA MAJARIBIO YAKE LEO SAUZI

  Mshambuliaji wa Simba SC akiwa tayari kwa majaribio katika klabu ya Gree Arrows ya Durban Afrika Kusini jioni ya leo
  Hajib alifanya mazoezi kikamilifu na Green Arrows jioni ya leo mjini Durban
  Hajib akiwa amejichanganya na wachezaji wa Green Arrows mazoezini leo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAJIB ALIVYOANZA MAJARIBIO YAKE LEO SAUZI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top