• HABARI MPYA

  Sunday, May 15, 2016

  DAKIKA 90 ZA NDANDA FC NA YANGA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akiwania mpira wa juu dhidi ya beki wa Ndanda FC, Cassian Ponera katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2
  Beki wa Yanga, Vincent Bossou akikimbilia mpira mbele ya kiungo wa Ndanda FC, Kiggy Makassy

  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akikimbilia mpira dhidi ya kiungo wa Ndanda FC, William Lucian 'Gallas'
  Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali (kulia) akipiga krosi pembeni ya beki wa Ndanda, Aziz Sibo
  Winga wa Yanga Geoffrey Mwashiuya akimtoka beki wa Ndanda FC, Aziz Sibo
  Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Ndanda, Hemed Khoja. Kushoto ni Amissi Tambwe wa Yanga
  Winga wa Yanga, Simon Msuva akipiga shuti katika mchezo huo wa jana Uwanja wa Taifa
  Beki wa Yanga, Juma Abdul (kulia) akimdhibiti mshambuliaji wa Ndanda FC, Atupele Green
  Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akipasua katikati ya wachezaji wa Ndana FC jana

  Wachezaji wa Yanga SC wakikatiza katikati ya wachezaji wa Ndanda kupokea heshima yao kwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu kabla ya mchezo wa jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DAKIKA 90 ZA NDANDA FC NA YANGA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top