• HABARI MPYA

  Sunday, December 05, 2021

  TAIFA STARS BILA SIMBA NA YANGA KUIVAA UGANDA


  KOCHA Mdenmark wa timu ya taifa ya Tanzania, Kim Poulsen ameita kikosi cha wachezaji 23 ambacho kitaingia kambini kesho kujua saa na mchezo wa kirafiki katika sherehe za miaka 60 ya Uhuru dhidi ya Uganda Desemba 9.
  Katika kikosi hicho hajajumuishwa mchezaji hata mmoja wa Simba au Yanga, bila shaka kuziachia fursa klabu hizo ya maandalizi ya pambano baina yao Desemba 11.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAIFA STARS BILA SIMBA NA YANGA KUIVAA UGANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top